MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizindua Kampeni ya “Mazazi Mshike Mwanao”wakati wa hafla ya Uzinduzi wa
Kongamano la Jumuiya ya Wazazi Tanzania la kumpongeza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kutimiza Miaka
Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu Nane, lililofanyika katika viwanja vya
Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 22-10-2024.
DKT. SERERA AVUTIWA NA USHIRIKI WA NEMC KWENYE MAONESHO YA IATF
-
Naibu Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera amelipongeza
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa namna
ambavyo l...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment