Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Jijini Dodoma.

 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 17 Januari, 2025.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa (NEC) wakiwa kwenye Kikao hicho kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 17 Januari, 2025.








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.