Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, akitokea Pemba kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Chakechake Pemba 12, Januari 2025.
MUUNGANO WAZIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUIBUA VIPAJI VYA MICHEZO
-
Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na (Mazingira) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya
kuwasil...
30 minutes ago



0 Comments