Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Awasili Pemba kwa Ziara ya Kikazi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akiambatana na Mwenza wake Mama Sharifa Omar Khalfan wamewasili Kisiwani Pemba kwa shughuli za Kikazi.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)

Tarehe 14.02.2025

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.