Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi Lushoto mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli
katika muendelezo wa ziara yake Lushoto mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Bumbuli, wilayani Lushoto katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
No comments:
Post a Comment