Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amezindua Zanzibar SUKUK Viwanja vya Ikulu leo 22-2-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Zanzibar SUKUK, uzinduzi huo uliyofanyika leo 22-2-2025 katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.


 

VIONGOZI mbalimbali wa Serikali na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Zanzibar SUKUK, uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua App ya Zanzibar SUKUK,wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025, (kushoto kwa Rais ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Arafat A.Haji na (kulia kwa Rais) CPA Juma Amour Mohammed.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua kitabu cha muongozi wa Zanzibar SUKUK,wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025, (kushoto) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua kitabu cha muongozi wa Zanzibar SUKUK,wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum. na  CPA.Juma Amour Mohammed na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla












No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.