Habari za Punde

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KILELE CHA TUZO ZA KUHIFADHI QURANI TUKUFU

Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya Dola za Marekani 6000, Mohammed Yacine kutoka Algeria (kushoto kwake ) ambaye alikuwa  mshindi wa kwanza wa kilele cha Tuzo za 33 za Kimataifa za kuhifadhi Qurani Tukufu  kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, Februari 23, 2025. Kushoto ni  Sheikh Mkuu na Mufti  wa tanzania, Dkt Abubakar Zubeir Ally. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu







 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.