WANANCHI wa Zanzibar wakifuatilia Mashindano ya
Kihifadhi Quran Afrika yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex
Zanzibar 22-3-2025. Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuhudhuria
Mashindano ya Kuhifadhi Quran Afrika yaliyofanyika 22-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika jukwaa la Viongozi
katika Uwanja wa New Amaan Complex,
wakati wa Mashindano ya Kuhifadhi Quran Afrika, yaliyofanyika katika
Uwanja huo leo 22-3-2025 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Dkt.Haroun Ali Suleiman
MAJAJI wa Mashindano ya Kuhifadhi Quran Afrika
wakiongoza mashindano hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex
Zanzibar, yaliyofanyika katika uwanja huo 22-3-2025
WASHIRIKI
wa Mashindano ya Kuhifadhi Quran Afrika yaliyofanyika katika Uwanja wa
New Amaan Complex Zanzibar yaliyofanyika 22-3-2025.
WANANCHI wa Zanzibar wakifuatilia Mashindano ya
Kihifadhi Quran Afrika yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex
Zanzibar 22-3-2025. Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi
milioni thalathi Mshindi wa Kwanza wa
Mashindano ya Kuhifadhi Quran Akfrika
kutoka Nchini Afrika Kusini Mohammed Raees Amanjee, mashindano hayo
yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar 22-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya fedha taslim
mshiriki mwenye umri mdogo katika Mashindano ya Kuhufadhi Quran Afrika kutoka
Nchini Kenya Muhammad Said Ahmed (10) mshindi wa kumi wa mashindano hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan
Complex Zanzibar 22-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk,Hussein Ali Mwinyi
akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji
Zanzibar (ZBC) Ramadhan Bukini, baada ya kumalizika kwa Mashindano ya Kuhifadhi
Quran Afrika, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo
22-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi
na (kulia kwa Mkurugenzi Mkuu wa ZBC) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Dkt. Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Mashindano ya
Kihifadhi Quran Afrika, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex
Zanzibar 22-3-2025
No comments:
Post a Comment