Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja Bi.Mariam Khamis, (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Duka la huduma kwa wateja la Vodacom Nungwi Zanzibar Mkoa wa Kaskazini Unguja, uzinduzi huu ni hatua muhimu kwa jamii, kwani duka hilo litatoa huduma bora za mawasiliano na bidhaa za kisasa kwa wakazi wa eneo hilo , (kulia kwake) mdau wa Vodacom Unguja Saleh Judas na (kushoto kwake) Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya Brigita Shirima. Uzinduzi ni hatua mojawapo ya Vodacom kupanua huduma zake Zanzibar ili kuendelea kutoa huduma bora zaidi kwa Wateja wake.
Katibu Tawala Wilaya ya Kaskazini A Unguja Mariam Khamis akizungumza wakati wa hafla ya ufuinguzi wa Duka la huduma kwa Wateja la Vadocam Mkoa wa Kaskazini Unguja Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika wiki uliyoputa Nungwi.
No comments:
Post a Comment