RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Bi. Arafa
Mohammed Said, akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Lumumba
akipatiwa matibabu, wakati wa ziara yake kuwatembelea Wagonjwa waliolazwa
katika hospital hiyo na (kulia kwa Rais)
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Daktari
Bingwa wa upasuaji Dr. Haitham Hamoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Bi. Arafa
Mohammed Said, akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Lumumba akipatiwa matibabu, wakati wa ziara yake kuwatembelea
Wagonjwa waliolazwa katika hospital hiyo
na (kushoto kwa Rais) Daktari Bingwa wa upasuaji Dr. Haitham Hamoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanafamilia katika kuitikia dua kumuombea Bi.Arafa Mohammed
Said, aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Lumumba akipatiwa matibabu, ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Zanzibar
Sheikh.Halid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor
Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Daktari Bingwa wa Upasuaji Dr. Haitham Hamoud.
No comments:
Post a Comment