Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu,
Bw. Bakari Machumu akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mtandaoni pamoja na
Wanablogu mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha na
kupokea maoni yao, ikiwa ni mfululizo wa mikutano na wadau wa Tasnia ya Habari kwa
ajili ya kuboresha masuala mbalimbali ya Mawasiliano baina ya Kurugenzi ya
Mawasiliano ya Rais, Ikulu na Vyombo vya Habari, tarehe 27 Novemba, 2025.
Waandishi wa Habari wa Mtandaoni,
pamoja na Wanablogu mbalimbali wakizungumza katika Kikao cha pamoja na Mkurugenzi
wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu, Ikulu Jijini Dar es Salaam,
tarehe 27 Novemba, 2025.
Waandishi wa Habari wa Mtandaoni, pamoja na Wanablogu mbalimbali wakizungumza katika Kikao cha pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2025.






.jpeg)

0 Comments