
Hivi ndivyo lilivyo soko la Mwanakwerekwe katika kipindi hichi cha mfungo wa mwezi wa Ramadhani lilivyosheheni bidhaa mchanganyiko.

Futari ya Ndizi

Sokoni Mwanakwerekwe - Majimbi yapo, Viazi vitamu vipo

Mwezi huu bidhaa za matunda hutumika sana kwa chakula cha futari wachuuzi wakipanga majimbi huuza fungu moja shillingi 2000/= katika soko la Mwanakwerekwe.

Mfanyabiashara katika soko la Mwanakwerekwe akisuburi wateja wa bidhaa ya maboga. Boga moja shillingi 1500/= hutumiwa kwa futari katika kipindi hichi cha mfungo wa Ramadhaan katika Visiwa vya Unguja.
0 Comments