Hii ni special kwa mdau aliyeomba kuliona Jengo la Baraza la Wawakilishi kwa nje na kwa ndani. Tunawasilisha.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika kikao cha dharura cha kujadili Mswaada wa marekebisho ya Katiba, katika ukumbi mpya wa Baraza Mbweni hivi karibuni kabla ya kuvunjwa na Rais wa Zanzibar.
TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA JAPAN, IFAD.
-
Na. Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya
mazungumzo kwa nyakati tofauti...
4 Comments
Asalam Alaikum,
ReplyDeleteShukran kwa kuzingatia ombi langu, baraza limetulia si mchenzo, japo wengine watasema sijui tumecopy design.
Waalaykum Salaam
ReplyDeleteShukran
A.alaikum
ReplyDeletejengo letu jipya limetulia kabisa
Shukran Mapara
Nimependezwa sana kuliona jengo hili. Shukran sana bwana Othman.
ReplyDelete