6/recent/ticker-posts

LAA HAULA - AJALI

KATIKA pita pita yangu mitaani nililikuta rukwama ambalo limepata ajali ya kupasuka mpira na kupinduka lakini mhusika hakujeruhiwa katika mkasa huo uliotokea maeneo ya Rahaleo likiwa na magunia ya mkaa.

Post a Comment

0 Comments