Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Abdulhamid Ameir , kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Fatma Hamid Mahamoud, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
Picha na Ramadhan Othman
Standard Chartered Tanzania Yatoa USD 11,500 Kuendeleza Ukuaji wa
Ujasiriamali
-
Standard Chartered Tanzania imeongeza dhamira yake ya kuunga mkono ubunifu
wa ndani na uwezeshaji wa kiuchumi kwa kutangaza mchango wa USD 11,500 kwa
Ch...
2 hours ago



2 Comments
Mzee Mapara,
ReplyDeletePicha ya juu sio Mkusa. Huyo ni Abdulhamid Ameir Issa. Nadhani picha ya chini ndio Mkusa.
Ahsante Mdau tutarekebisha
ReplyDelete