6/recent/ticker-posts

Ajali barabara ya Rahaleo

Wananchi wakiangalia ajali ya gari iliotokea katika barabara ya rahaleo iliozihusisha gari mbili zenye namba za  Z 581BX bus na Pick up yenye namba za uasjili Z 629 BB, wakibishana kwa kulaumiana kila mmoja ndie mkosa  wa ajali hiyo, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.

Post a Comment

0 Comments