6/recent/ticker-posts

Uimarishaji wa Miundombinu ya Mitaro.


Wafanyakazi wa Michirizi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakiweka  mabomba ya maji  machafu katika barabara ya Michezani eneo la kiswandui, ili kuimarisha miundombinu ya mitaro katika maeneo ya mjini kuna sehemu hujaa maji wakati wa mvua, eneo hili ambalo huwa linajaa maji ya wakati wa kunyesha mvua na kuwa usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo.

Post a Comment

0 Comments