Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Aman Abeid Karume, akifungua kitambaa kuashiria kuzinduwa Tawi la CCM la Shidi Jimbo la Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba.
MAKAMU WA PILI WA RAIS KUZINDUA MASHINDANO YA QUR’AAN
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla,
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano makubwa zaidi ya
Qur’...
48 minutes ago
0 Comments