6/recent/ticker-posts

Dk Shein Safarini Uingereza


Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi wengine akatika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum,katika safari hiyo Dk. Shein amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

0 Comments