Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilali akihutubia Mkutano wa Kumi na Sita wa Wakuu wa Nchi za Siasa ya Kutofungamana na Siasa ya Upande wowote unaomalizika leo mjini Teheran, Iran. Katika hotuba yake, pamoja na mambo mengine alisisitiza msimamo wa Tanzania kuendelea kupigania haki, kutetea wanyonge, kupinga ubeberu na ukandamizaji kote duniani, pia aliiasa Jumuiya ya Kimataifa kutatua migogoro yote kwa njia ya amani.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
CCM MOROGORO YATAKA WANACHAMA KUDUMISHA AMANI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA
49 YA CHAMA
-
Na Farida Mangube, Morogoro
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Joseph
Masunga amewataka wanachama wa chama hicho kuendelea...
53 minutes ago
1 Comments
acha kusema uwongo dr Bilal , umri wako ni mkubwa karibu utakutana na muumba jee humuogopi? tanzania inaongoza kwa unyanyasaji wa raia na imekuwa inatawala zanzibar kwa mabavu na kuwatumia viongozi kama nyinyi kuendeleza ukoloni , vipi unaisifu serikali ya madhalimu?
ReplyDelete