Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa wa wakuu wa nchi na serikali usiofungamana na upande wowote Duniani, mkutano huo umeanza leo mjini Teheran Iran.
Picha na Ofisi ya makamu wa Rais
REA YAMTAKA MKANDARASI CCC INTERNATIONAL MKOANI RUVUMA KUONGEZA KASI YA
UJENZI WA MRADI
-
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtaka Mkandarasi Kampuni ya CCC
International Engineering Nigeria Ltd anayetekeleza Mradi wa Kusambaza
umeme katika Vit...
16 minutes ago
0 Comments