6/recent/ticker-posts

ZRB Pemba yakutana na wafanyabiashara Wete


MSAIDIZI Meneja Elimu kwa walipa kodi kutoka Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB Safia Is-haka akizungumza na wafanyabiashara wa mji wa Wete Pemba hawapo pichani wakati akiwasilisha mabadiliko ya sheria na kanuni za ZRB kwa mwaka 2012/2013 kushoto ni Afisa Elimu Idara ya walipa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Saleh Haji Pandu (picha na Haji Nassor, Pemba)

Post a Comment

1 Comments

  1. ZRB ( zanzibar robbery bureau) na TRA ( tanganyika robbery bureau) , majambazi wenye kupewa leseni na serikali , kuwanyonya wananchi kujinufaisha wenyewe na matumbo yao na familia zao , subirini mkiingia makaburini mtakiona cha mtema kuni ,

    ReplyDelete