WAZIRI WA FEDHA AKUTANA NA UJUMBE WA KITENGO CHA KUDHIBITI FEDHA HARAMU
(FIU)
-
*Na. Joseph Mahumi na Saidina Msangi, WF, Dodoma*
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya
mazungumzo na ujumbe kutoka ...
2 hours ago
2 Comments
waislamu tutazidi kutawaliwa kila siku, mmegaiwa chakula na mzungu mpaka dua mnamuombea
ReplyDeleteuislamu unakataza kubagua mtu yoyote yule ndugu ommy , kwa mungu sisi sote ni sawa , alie mbora ni yule ateyemwabudu Mungu. Ikiwa tunatawaliwa ni kwa jili viongozi wetu sio waadilifu wameweka rushwa na maslahi yao binafsi , lakini vipi tunatawaliwa na tanganyika mpaka leo?
ReplyDelete