Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Khamis Mussa,kuwa Katibu Mkuu Wizara
ya Fedha,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Fatma Gharib Bilali, kuwa Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais Kazi,Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika ukumbi
wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.{Picha na Ramadhan Othman,}
0 Comments