6/recent/ticker-posts

Madrasah Resources Centre yaandaa siku ya Afya ya jamii

 Mmoja kati ya wazee wa kijiji cha Muungoni jina halikufahamika kwa mara moja  akishirikiana na kinamama wa watoto wa wanafunzi   katika mafunzo ya upikaji uji wa lishe huko Skuli ya Maandalizi ya Istimraa iliyopo Kijiji cha  Muungoni.
 Daktari Salma Rashid akimchunguza Masikio mwanafunzi wa Skuli ya Maandalizi ya Istimraa iliyopo Kijiji cha Muungoni
 Diwani wa Viti Maalum Salama Ali akimkabidhi zawadi mmoja kati ya wanafunzi wa skuli ya Pete kwa niyaba ya wanafunzi wenzake.
Wanafunzi wa Skuli za Maandalizi  Jambiani na Pete wakionesha ukakamavu katika machezo wa kuvuta kamba katika sherehe ya siku ya Afya ya Jamii zilizofanywa na Zanzibar Madrasat Resouce Centre huko Kijiji cha Muungoni.
 PICHA NA MIZA OTHMAN MAELEZO-ZANZIBAR

Post a Comment

0 Comments