WANANCHI mbali mbali wa shehia ya Pujini, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake, Mwanajuma Majid Abdalla (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao, katika kilele cha siku ya Uzazi wa Mpango Duniani, ambapo kiwilaya maadhimisho hayo yalifanyika
Pujini
WANAKIKUNDI cha ngoma ya Msewe kutoka Chokocho, wakitumbuiza katika kilele cha siku ya Uzazi wa Mpango Duniani, maadhimisho hayo kiwilaya yaliyofanyika huko Pujini wilaya ya Chake Chake PembaPujini
Pemba.
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na wananchi wa shehia ya Pujini wilaya ya Chake Chake Pemba, katika kilele cha Siku ya Uzazi wa Mpango Duniani, maadhimisho hayo kiwilaya yalifanyika huko Pujini.
(Picha zote na Abdi Suleiman,Pemba).
0 Comments