6/recent/ticker-posts

Ujumbe wa wadi za Makunduchi waendelea na ziara Kiruna, Sweden washiriki Semina na kutembelea skuli ya kisasa

 Ujumbe wa wadi za Makunduchi waendelea na ziara kwa semina ya jinsia mjini Kiruna, Sweden.
Semina hiyo pamoja na mambo mengine imelenga jinsi ya kuufanya umoja wowote ule kuwa wa haki kwa watu wote.

 Semina ya nguvu za jua ililenga kuangalia namna gani wadi za Makunduchi zinaweza kutumia nguvu za jua kwa kuendeshea pampu za maji n.k
 Skuli ambayo ujumbe wa Makunduchi ulitembelea inasomesha kwa vitendo. Hapa wajumbe wa wadi za Makunduchi wapo ndani ya kitengo cha useremala.

 Mwalimu Mwatima Hassan akijaribu kupiga ngoma katika kitengo cha muziki
Ujumbe wa wadi za Makunduchi waendelea na ziara kwa semina ya jinsia mjini Kiruna, Sweden.
Semina hiyo pamoja na mambo mengine imelenga jinsi ya kuufanya umoja wowote ule kuwa wa haki kwa watu wote.

Post a Comment

0 Comments