6/recent/ticker-posts

Dk Shein akutana na Naibu wa Chama cha Kikomunist​i Jamhuri ya Watu wa China

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Jamhuri ya Watu wa China Comrade Ai Pin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,(wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,na Asha Rose Migiro Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Jamhuri ya Watu wa China Comrade Ai Pin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
 
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

0 Comments