Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba, kutoka (kulia) Prof. Palamagamba Kabudi, Alhaj Said El- Maamry, Bi.
Kibibi Hassan na Bi. Esther Mkwizu wakiwa katika kikao kilichofanyika leo
(Alhamisi Oktoba 10, 2013) kuchambua maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba
Mpya yaliyowasilisha na kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba
iliyomalizika hivi karibuni.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Bi. Maria Kashonda (kushoto) akizungumza katika kikao kilichofanyika
leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya
Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba
iliyomalizika hivi karibuni.Kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo, Bw. Yahya Msulwa.
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba, upande wa pili kushoto Bi. Jesca Mkuchu, Bi. Fatma Said Ali na
wajumbe wengine Bi Maria Kashonda na Yahya Msulwa wakiwa katika kikao kilichofanyika
leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu
ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba
iliyomalizika hivi karibuni.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Prof. Mwesiga Baregu (kulia) akizungumza katika kikao kilichofanyika
leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu
ya Katiba Mpya yalitolewa katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika
hivi karibuni. Kuli ni Mjumbe wa Tume, Bi. Mwatumu Malale.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Bw. Awadh Said (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe wengine wa
Tume, Bi. Mwatumu Malale na Prof. Mwesiga Baregu wakati wa kikao kilichofanyika
leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu
ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika mikutano ya Mabaraza ya Katiba
iliyomalizika hivi karibuni.
0 Comments