6/recent/ticker-posts

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zenj.

 Mwakilishi wa jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan, akizungungumza na Mwakilishi wa kuteuliwa Ali Mzee Ali ,wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wakati wa kujadili Mswada wa Sheria ya Matumizi ya Ardhi Zanzibar iliowakilishwa jana na kujadiliwa na Wajumbe wa Baraza hatimae kupitishwa kwa Mswada huo jana.
 Wajumbe wa Barazala Wawakilishi kushoto Issa Gavu (CCM) na Ismail Jussa (CUF) wakitoka katika ukumbi wa mkutano baadaya kuahirishwa kwa Kikao cha asubuhi kwa mapumziko ya mchana. na kurudu jioni kuendelea na kujadili Mswada wa Sheria ya Ardhi Zanzibar.
 Mhe. Abubakary Khamis Bakari , Mhe. Ali Mzee Ali , wakimsikiliza Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa, akisisikita jambo na kutowa maoni yake kwa wajumbe hao baada ya kikao cha saubuhi kuakhirishwa  kwa mapumziko mafupi ya mchana.


 Mhe. Nassor Salim Jazeera, akisisitiza jambo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Makaazi Mustaafa Aboud Jumbe nje ya Ukumbi wa Mkutano,     

Mhe Asha Bakari Khamis, akizungumza na kubadilishana mawazo na Wajumbe wenake baada ya kuakirishwa kikao cha asubuhi kwa mapumziko wakiwa nje ya ukumbi wa Mkutano.

Post a Comment

0 Comments