6/recent/ticker-posts

Rais Kikwete Awasili Iringa naKupokelewa kwa Shangwe,Akihudhuria sherehe za Maadhimisho ya kilele cha Mwenge.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kamnada wa vijana Iringa Mhe Asas katika  Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa leo Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika kesho (Oktoba 14, 2013) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Iringa mjini Mhe Msigwa katika  Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa leo Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika kesho (Oktoba 14, 2013) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa leo Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika kesho (Oktoba 14, 2013) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora

Post a Comment

0 Comments