Tangi hili la Maji ambalo limejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikishirikiana na mradi wa African Development Bank - ADB, katika eneo la Gongoni Micheweni Pemba, ambalo linakadiriwa kuchukuwa maji zaidi ya lita 3000.ambalo ni miongoni mwa mradi unaotarajiwa kuzinduliwa katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Picha na Bakar Mussa, Pemba
2 Comments
Mara nyingi hesabu unazikosa
ReplyDeleteHaiwezekani ukubwa wa hili tank likachukuwa lita 3,000
ni zaidi ya hizo
Sadakta ndugu yangu Zahor, kwa kweli umenitangulia, nilikuwa najiuliza mwandishi kweli alikuwa makini ama vipi.
DeleteNaomba afualitie zaidi haiwezekani project kama hiyo ikajenga overhead tank la lita 3,000.