6/recent/ticker-posts

Maalim Seif afutari pamoja na Masheikh nyumbani kwake

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika futari ya pamoja na Masheikh mbali mbali wa Zanzibar nyumbani kwake Mbweni.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya Masheikh na viongozi wa dini ya kiislamum waliofika katika futari ya pamoja

Picha na Salmin Said OMKR

Post a Comment

1 Comments

  1. Picha za futari ya Saturday za Bwawani za PBZ Ltd zipo wapi jamani???

    ReplyDelete