Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi akiufungua rasmi Mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na
Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hotel & Suites Shinei
Bay Mjini Haikou Jimboni Hainan
Gavana wa Jimbo la Hainan Bwana Jian Dingzhi
akitoa neno la makaribisho kwa wajumbe wa mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati
ya China na Afrika unaoendelea katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hoteli&
SuitesShiney Bay Mjini Haikou.
Washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tano wa
auashirikiano kati ya China na Afrika, waliopo mbele wane kuanzia kulia
ni Meya wa Manispaa ya Zanzibar Mstahiki Khatib Abdulrahman Khatib,Mwakilishi
wa Jimbo la Chaani Mh.e Ussi Jecha Simai, Waziri wa Ardhi Mh. Ramadhan Abdulla
Shaaban,Waziri wa Habari Mh. Said Ali Mbarouk na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
Meya Wa Manispaa ya Zanzibar Mstahiki Khatib
Abdullrahman Khatib kulia pichani na kushoto yake Mwakilishi wa Jimbo la
Chanani Mh. Ussi Jecha Simai wakiwa makini kufuatilia Hotuba ya Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani wakati wa ufunguzi
wa Mkutano wa Tato wa Kimataifa wa Ushirikiano kati ya China na Afrika
uliofanyika Katika Mji Mkuu wa Jimbo la Kisiwa cha Hainan – Haikou.
(Picha na Hassan Issa China)




1 Comments
Hapo mzee najua anapapatua tu. Haijulikani kama anasema kichina au kizungu. Kazi IPO!!!.
ReplyDelete