6/recent/ticker-posts

Ajali ya gari ruti ya Chake - Mkoani

 
WASAMARIA wema wakiangalia gari ndogo iliyokuwa ikitoka Mkoani kwenda Chake Chake, iliyogongana na gari aina ya Toyota yenye namba za usajili Z 177 AN aina ya daladala yenye ruti kati ya Chake Mkoani, katika eneo la Kigope Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)


BAADHI ya wasamaria wema wakiikaguwa gari aina ya Toyota daladala yenye namba za usajili Z 177 AN, iliyokuwa ikitoka Chake kwenda Mkoani kugongana na gari ndogo katika eneo la Kigope Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Post a Comment

0 Comments