Hawa jamaa mbunge na mwakilishi Wana chembe ya mawazo ya kidini kweli? Ramadhan ni mwezi wa kuzama ktk ibada jamaani, mipira na michezo mengine vipi? Ushauri na tuanzishe na msshindano ya kuhifadhi quraan, kheir kubwa itapatikana majimboni
Katika viongozi wachache ambao nina wakubali kwa dhati basi ni pamoja na Mh Masauni. Lkn katika hili basi naungana kwa asilimia 100 na mchangiaji wa hapo juu. Huu ni mwezi mtukufu,tungejikita katika kumuabudu Muumba wetu na si vyenginevyo.
MONGELLA AHANI MSIBA WA MGEJA
-
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi-CCM, Bara, John Mongella akiwa
ziarani Mkoani Shinyanga amehani msiba wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa ...
2 Comments
Hawa jamaa mbunge na mwakilishi Wana chembe ya mawazo ya kidini kweli? Ramadhan ni mwezi wa kuzama ktk ibada jamaani, mipira na michezo mengine vipi? Ushauri na tuanzishe na msshindano ya kuhifadhi quraan, kheir kubwa itapatikana majimboni
ReplyDeleteKatika viongozi wachache ambao nina wakubali kwa dhati basi ni pamoja na Mh Masauni. Lkn katika hili basi naungana kwa asilimia 100 na mchangiaji wa hapo juu. Huu ni mwezi mtukufu,tungejikita katika kumuabudu Muumba wetu na si vyenginevyo.
ReplyDelete