Bomoa Bomoa Darajani Maduka ya Kontena Umeaza Jana na Kumalizika leo kwa Wafanya Biashara wa Eneo hilo kubomoa Makontena yao Kupisha Matumizi Mengine ya Eneo hilo.
KRETA YA EMPAKAAI (EMPAKAAI CRATER).
-
Kasoko ya Empakaai ni mojawapo ya Kasoko za volkano ndani ya Hifadhi ya
Ngorongoro, ikiwa na kingo za juu na ziwa zuri linalofunika zaidi ya
asilimia 75 ...
1 Comments
kama serekali wangekuwa na plani nzuri, basi wangeunganisha na jumba la treni wakaweka maduka kibao, hapo pangekuwa pazuri
ReplyDelete