Wajasiriamali wa kilimo cha mbogambago kisiwani Pemba kimewakomboa wakulima wengi kwa mafanikio yake na kujiongezea kipato chao kupitia kilimo hicho kama inavyoonekana moja ya shamba la mbogomboga aina ya nyanya chungu zikiwa zimestawi na kunawiri katika shamba la kikundi cha jambo group kilichoko Wambaa wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MONGELLA AHANI MSIBA WA MGEJA
-
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi-CCM, Bara, John Mongella akiwa
ziarani Mkoani Shinyanga amehani msiba wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa ...
1 hour ago

0 Comments