6/recent/ticker-posts

Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Zanzibar Michael Hafidh Aongoza Ibada ya Ijumaa Kuu

Mchungaji wa Kanisa la Mkunazini la Anglikana akitowa sadaka kwa waumini wa kanisa hilo wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu wakiongana na Waumini wa Madhehebu mbalimbali ya Dini ya Kikristo kuadhimisha siku ya mateso ya Yesu.


 Waumini wakiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisda la Anglikana Mkunazini Zanzibar

Post a Comment

0 Comments