TPC yashinda tuzo ya taasisi za kutoa huduma. Shirika la Posta Tanzania (TPC) limeshinda tunzo ya maonyesho ya Sabasaba kwa taasisi za kutoa huduma. Tunzo hiyo alibabidhiwa Mkurugenzi Mtendaji wa TPC Deo Kwiyukwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dr. John Pombe Magufuli kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba.Picha na Othman Michuzi Media Group
DC KASILDA AWATAKA WAHANDISI KUTOKA MAOFISINI
-
NA WILLIUM PAUL, SAME.
MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka
wahandisi wa Halmashauri kuacha tabia ya kukaa ofisini na bada...
2 hours ago

0 Comments