Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida alipokutana na na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2017. Picha na Ikulu.
Mfumo Mpya wa Kodi Kuleta Mapinduzi Makubwa ya Ukusanyaji wa Mapato Nchini.
-
Na Mwandishi Wetu
Hatua kubwa ya mageuzi ya kodi nchini imefikiwa kufuatia tangazo la kuanza
kutumika kwa mfumo mpya wa ukusanyaji wa kodi za ndani, hatua...
3 hours ago


0 Comments