Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Vijana Walioacha Matumizi ya Dawa za Kulevya Zanzibar wakati wa hafla hiyo iliofanyika Viwanja vya Mapinduzi Squera Michezani Zanzibar.
TRA Yatangaza IDRAS Kuanza Rasmi Februari 9, 2026
-
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda,
amewataka watumishi wa mamlaka hiyo kuendelea kufanya kazi kwa weledi,
bidii na ...
24 minutes ago
0 Comments