DCP wa Jeshi la Polisi Tanzania G.Y.Kamwela akisoma wasifu wa Marehemu DCP Azizi Juma Mohammed, wakati wa hafla hiyo ya maziko iliofanyika katika makaburi ya mwanakwerekwe Wilaya Magharibi B Unguja, yaliofanyika jana 9-6-2019. Na kuhudhuria na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. kushoto Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Yussuf Masauni na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.
USISHANGAE MATAA MJINI, TEMBEA UONE MCHANGA UNAOHAMA (SHIFTING SANDS)
NGORONGORO.
-
Waswahili husema tembea uone na Mwenda bure si mkaa bure huenda ataokota.
Ukitaka kujaribu kuuokota mchanga unaohama njoo jirani na bonde la Olduvai
ndani ...
18 minutes ago
0 Comments