Muonekano wa Jengo la ZURA eneo la Maisara Zanzibar kama linavyoonekana katika picha ya jengo hilo la Ghorofa Saba, Baada ya kukamilika kwa ujenzi huo litaonekana kama hivi na kutowa haiba nzuri ya Mjini wa Zanzibar.
MEYA KIBAHA KUTOA ZAIDI YA MILION 18 KUCHIMBA VISIMA VINNE KUPUNGUZA KERO
YA MAJI PANGANI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 22, 2025
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya
Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba...
14 hours ago
0 Comments