6/recent/ticker-posts

Mradi wa Ujenzi wa Maduka ya Kisasa ya Mradi wa ZSSF Michezani Jijini Zanzibar

Muonekano wa jengo la Maduka ya Kisasa katika eneo la michenzani (makontena) likiwa katika ujenzi wake huo katika hatua za mwisho za umalizaji wake kama linavyoonekana pichani likiwa katika hatua kubwa ya ujenzi huo unaofanywa na Kampuni ya Ujenzi ya Kichina.  

Post a Comment

0 Comments