Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya
Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (katikati)
akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi
na Teknolojia, Prof. James Mdoe (kulia) wakati wa ziara iliyofanywa na
Prof. Mdoe kutembelea Ofisi za Makao Makuu ya HESLB Tazara Jijini Dar es
Salaam leo Alhamisi Novemba 12, 2020. Kushoto ni Mkurugenzi wa Upangaji
Mikopo HESLB Dkt. Veronica Nyahende.
Mkurugenzi Upangaji Mikopo Bodi
ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Dkt. Veronica Nyahende
akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na
Teknolojia Prof. James Mdoe wakati wa ziara iliyofanywa na Prof. Mdeo
kutembelea ofisi za makao makuu ya HESLB Tazara Jijini Dar es Salaam leo
Alhamisi Novemba 12, 2020. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB,
Abdul-Razaq Badru.
KIHONGOSI AFANYA KIKAO KAZI NA VIONGOZI,WASANII BENDI YA TOT
-
Na Mwandishi Wetu
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC)ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi
na Mafunzo Kenan Kihongosi amefanya kikao kazi na viongozi m...
8 hours ago
0 Comments