6/recent/ticker-posts

Matukio ya Picha Maziko ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli Kijijini Kwao Chato Leo.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewaongoza Viongozi wa Serikali na Wananchi Nchini Tanzania katika misa ya Maziko ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, yaliofanyika Kijijini kwao Chato leo. 











 

Post a Comment

0 Comments