Mandhari ya Barabara
ya Shekilango km 3.7 iliyojengwa kwa njia 4, upana mita 22, njia za watembea
kwa miguu,taa za Kisasa, mitaro ya maji na Bustani ili kupunguza msongamano wa
magari kuanzia maungio ya barabara ya Morogoro na kupita mitaa yote ya
Sinza mpaka maungio ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi mkoani Dar es Salaam ikiwa
inapendeza mara baada ya ujenzi wake kukamilika. PICHA NA
IKULU
DKT. MAULID - USIMAMIZI FANISI WA SHUGHULI ZA ELIMU NI CHACHU YA MAFANIKIO
KATIKA SEKTA YA ELIMU
-
8 Januari, 2026
Hayo yamesemwa leo tarehe 08 Januari, 2026 na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Maendeleo ya Uongozi wa Elimu – ADEM Dkt. Maulid J. Maulid alipoku...
57 minutes ago


0 Comments