MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapugia mkono na kuwasalimia Vijana wa
UVCCM alipowasili katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa ajili ya
uzinduzi wa Tamasha la Tumazima Zote Tunawasha Kijani, lililofanyika leo
10-8-2024 katika uwanja huo.
Meridianbet Wanakupa Burudani Mpya Kutoka iMoon
-
MICHEZO ya kasino mtandaoni inabadilika kwa kasi, na wachezaji wanataka
zaidi ya burudani ya kawaida. Wanataka msisimko wa papo kwa papo, wepesi wa
uchez...
3 hours ago













0 Comments