Habari za Punde

DK SHEIN ATAWAZWA KUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA SUZA - ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akivishwa joho na Kaimu Makamu Mkuu wa Suza Dk Abdul Said Kandoro wakati wa sherehe maalum iliyofanyika leo katika viwanja vya chuo jirani na Majestic Cinema.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akipokea vifungu vya sheria vinavyomuwezesha kuwa Mkuu wa Suza kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo kikuu cha Zanzibar Mzee Hassan Nassor Moyo baada ya kutawazwa kuwa Mkuu (Chancellor) wa Suza
Baadhi ya Wahadhiri wa SUZA wakiwa katika maandamano wakati wa kutawazwa kwa Mkuu mpya wa Chuo Kikuu cha Suza Dk Ali Mohamed Shein.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.